Blogger Widgets

February 26, 2014

Soma Alichokiandika Saidi Fella Meneja wa TMK WANAUME,Kwa Kumdiss Ostaz Juma na Musoma kwa Kitendo chake cha Kumdhalilisha Msanii PNC

http://distilleryimage4.ak.instagram.com/f51383bc9edd11e3b10d12bfd5de2428_8.jpg  

Sijaielewa hii picha wadau hivi nikweli tz au nje ya nchi shino na meneja wake wa mziki huu wa bongo frevar jamani mnao hitaji kujifunza umeneja naomba mnitafute niwafundishe busara kuusu mziki kweli vijana wetu (wasanii)kuna mda wanazingua lakini tusitumie nguvu ya mifuko yetu kudhalilisha wenzetu milango nimeiacha wazi mje mjifunze