Blogger Widgets

February 14, 2014

Tazama Baadhi ya Maoni ya watu Baada ya Jana Diva wa Clouds Kuachia Picha Hizi akiwa anapigana Mabusu na King Crazy Gk

Diva akipenda, ulimwengu wote utajua. Hajui kuficha siri na haoni shida kuweka wazi hisia zake wote wajue. Na kwakuwa Valentine’s Day ndio hii, mtangazaji huyo wa redio ambaye kwa sasa ana uhusiano na rapper wa East Coast Team, King Crazy GK, amewaonesha followers wake wa Instagram kuwa kwa sasa si Diva the Bawse tu, bali ni ‘Diva the Queen’.
1a4a2f0294aa11e3a2071281ee17c4f5_8
Diva amepost picha inayomuonesha akipigwa busu shavuni na Mfalme wake na kuandika: Me and My GK….. closer .. kisses from US.”