Blogger Widgets

February 8, 2014

Tazama Picha jana Jinsi Adam Juma na Nisher walivyopatanishwa Katika mechi ya kikapu leo kati ya team Adam Juma na team Karabani

Katika mechi ya kikapu leo kati ya team Adam Juma na team Karabani kulikuwa na vitu vingi vizuri sana moja wapo ilikuwa ni hili, baada ya mechi kuisha na team ya Adam Juma kuondoka na ushindi watu wengi walikuwa na furaha sana moja wapo ni hili la Director Nisher alipotoka sehemu alipokuwa akitizama mechi hii na kwenda hadi katikati ya uwanja na kumfuata Director Adam Juma na kumpongeza kwa kile kilichofanyika na kuzungumza mambo mengine na kuacha tofauti zile zilizotokea na hadi watu kujua kuwa kuna BEEF la chini chini linaendelea.
Dj Choka Alisema nimefurahi sasa mimi kama DJ CHOKA na vitu kama hivi vinatakiwa viwe poa kwasababu hawa ndio wanaopeperusha bendera yetu mbali kwenye upande wa video za wasanii wa kibongo so tofauti zinapotokea haina budi kuzimaliza. One
20140208_011715 20140208_011721
From:djchokamusic.com

No comments:

Post a Comment