Blogger Widgets

February 22, 2014

Tazama Picha ya Mwanafunzi Aliyemaliza form aliyekutwa kajichoma kisu Shingoni Baada ya Kufeli kwa Matokea Yaliyotangazwa Jana

Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwananyamala dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae alimaliza kidato cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na
 kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa Maksi Mbaya