Blogger Widgets

February 6, 2014

Tazama Picha za Jamaa wawili ambao walikuwa wafungwa wakiwa na Jagual Baada ya Kutolewa Dhamana na Msanii Jagual Baada ya Kushoot Video ya Kioo akiwa Gerezani


Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Jaguar awalipia dhamana wafungwa wawili mara baada ya kumaliza kufanya nao kazi ya kurekodi video yake ya wimbo unaojulikana kwa jina la Kioo