Blogger Widgets

March 18, 2014

Tazama Picha za show ya Shilole na Madee ilivyo make head Line


 Kuanzia Kulia ni Shilole Baby a.k.a Beyonce akiwa na Madansa wake wawili wakike pamoja na Msanii Raymond wa Tiptop Conection waliweza kukonga nyoyo za Mashabiki wa Mziki huo wa Kizazi kipya Hapo jana Ndani ya Makonde Royal Night Club. Show ilisimamiwa na Safari Radio Fm Mtwara.

Madee akiwa na Raymond Tayari kwa Kushambulia Jukwaa katika Show iliyofanyika Hapo jana Usiku ndani ya Makonde Royal Night Club na kuhudhuriwa na Mashabiki Lukuki wa Mji wa Mtwara na Viunga Vyake.
Muite Madee Rais wa Manzese kutoka kundi la Tip Top Conection aliwasha moto vilivyo ndani ya Makonde Royal Night club katika Show yake iliyoandaliwa na Safari Radio Fm Mtwara.
Shishi Baby akiwa katika Pozi Matata tayari kuwapa Raha wakazi wa Mtwara ndani ya Makonde Night Club katika Show ya Madee Tema Mate Tuwachape,


Y