Blogger Widgets

April 7, 2014

Sasa Ni muda wa Kuangalia Picha za Matukio aliyofanya jana Diamond Platnumz na Queen Darling

blllo 
Ukubwa wa jina la Diamond ndiyo hufanya mahali popote Tanzania anapotokea au kuonekana kuwa na hali isiyo ya kawaida,Usiku wa kuamkia April 07 Club Bilicanas kulikua na uzinduzi wa video ya Queen Darlin ambaye ni dada wa Diamond Platnumz.

Wakati burudani zikiendelea mashabiki wakiwa hawajui kilichopo backstage ndipo Diamond alipopanda kulitokea shangwe kubwa na kuna shabiki mwingine alikuja kwa kasi kutaka kumkumbatia inawezekana ni furaha iliyozidi kipimo kubwa zaidi ni shabiki ambaye alitoa machozi kisa kikiwa ni kutaka kupiga tu picha na Diamond.
Hizi ni baadhi ya picha ya show hiyo zikimuonyesha na mastar kadhaa waliokuepo akiwemo Shettah.
blog0

blog8

BLOG4

IMG_9813

BLOG
i

BLOGGGGN
BLOGHGH

No comments:

Post a Comment