Blogger Widgets

April 7, 2014

Soma Ujumbe wa Lulu Michael Kuhusu Marehemu Kanumba Ikiwa leo ni siku ya Kuadhimisha miaka miwili Baada ya Kifo cha kanumba

Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea. Hichi ndicho alichosema
Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.
Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika

bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba, Ninaamini bado tupo nawe kiroho na ninaamini zaidi nasfi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania. Inaweza kuchukua miaka na miaka kukuelezea. You still live in me daddy and you are dearly missed. R.I.P daddy yangu.