
Ommy Dimpoz akitoa show

Madancer wa bendi ya Twanga Pepeta wakiwasubiria wenzao wa Extra Bongo walipokuwa wakishindana kutoa show

Hawa ni wachezaji wa Extra Bongo wakitoa burudani




Kalala Junior



Twanga ilifika zamu ya ndo ilikuwa kama hivyo



Hapa baada yakumaliza show kwa pamoja walikumbatiana kuonesha upendo



Weusi wakishambulia jukwaa, sio Mchezo







Madee naye alikuwepo kutoa show





Mpoki na Shadee

Fred Saganda akitoa burudani


Alice kushoto akifuatiwa na Vanessa Mdee,Maua na Meninah





Angel naye alikwepo


Cassim Mganga akimtunza Vanessa baada ya kuimba wimbo wake wa Awena vizuri


Menina aliimba Sumu ya Penzi wa Belle 9


Madancers vwa T Africa wakitoa Burudani

Kinga Maluu alikuwepo kutoa burudani

Kadjanito akiimba wimbo wake wa Maumivu



Diamond ane alitoa show nzuri sana




Wema akienda kumpongeza Diamond wakati wa show

Kundi la makondo likitoa show




Msami naye alikuwepo kutoa show












Ommy Dimpozi na Vanesa Mdee wakitoa show
From:Bongo5
No comments:
Post a Comment