Blogger Widgets

July 11, 2012

IS DIVA DATING ZITTO KABWE?


alt
BK: Ngoma yako “Piga simu” inafanya poa, so when should we expect the video?
DIVA: My video itatoka mwezi wa nane, nishaongea na Adam wa Visual lab na sasa hivi he is kinda of busy na project kadhaa. I will pay myself 1.5 million for this video na tutaisambaza kote nikiwa na my media manager Soudy Brown. So TeamDiva get ready for that.
BK: Who are you dating now?
DIVA : My relationship status is very private and am grown as just won’t kiss and tell, but I have a man n I really love him so badly. He is my heart. About him ni kwamba, the man is famous but not in music or movie industry
BK: Inasemakana ulishajifunika shuka moja na B12.
DIVA: Haijawahi kutokea, B12 is a very good friend of mine.I love him a lot ana roho nzuri sana, kani insipire sana katika radio waves way back katika DR.Beats but tunataniana sana yani. Namuita honey nay eye ananiita dear, kawaida sana kwetu. In fact sijawahi kutoka na mtu ninayefanya nae kazi
BK: Rumor has it kwamba unatoka na Kamanda Zitto Kabwe.
DIVA: No kabisa, he is a politician and am a fan. He is my insipiration, he is sexy and all that am joking thou but ni Politician ambae ni kipenzi cha vijana wengi. Zitto is that guy ambaYe anaamka na kuingia mjengoni ataloongea watanzania wote lazima waseme damn it. He is up again, to me naona anatoa voice to the voiceless and I salute him na sio zaidi ya hapo.
BK: What about your tweet with out of fish crab thing @divaakamimi.
DIVA: Me na Lamar we never signed any agreement ya maandishi, amenifanyia everything for free but we always argue and inakuwa inani hurt mimi. Sasa nimeamua kutojihusisha na fish crab for good cause, to save the friendship coz i like lamar alot  more than anything. Nikiwa na misunderstanding naye nakosa raha kabisa i even cry several coz nani ataenda kuninunulia ice cream sasa and my family loves him alot coz he is  good person. Am a radio personality will stay that way, will do music for fun 2 si zaidi btw ringtone pays man am loaded lol

No comments:

Post a Comment