Blogger Widgets

May 3, 2013

Sinta Adai Huyu Ndio Mrembo Tajiri na Si Wengine wanaozungumziwa Hapa Mjini.CHECK MALI ZAKE

               
kudadadadeki mmmmh  haaa angekuwa mwanafulenge 
ktk hii stage mamaaaa sisemi
 ila haya maisha hayagusiii hata robo
sijamtaja mtu mjuwe eeeeh
simple Zari
nadhani unalijuwa aina ya gari 
hapa bongo  analo naniiiiii??
my sweet lovie Delina ze don asiyejionyesha

 
ooooh lovely
haaaaa watu hawazungumzi wanatenda bana
kudadadeki hotel ya zari inakuja +256
watu wenye mikwanja yao huwa hawaongei
 sanaaaa ni vitendo tuuu
huyu ndiye Diva wa EA
 wengine tubaki tukiongea tu
 yeye anaonyesha matendo
the bosslady

amechoka kuhama hama ktk nyumba zake
 hii anakodisha na full furnished  apartment

 
haaaaaaa nyumba ya kijijini kwao 
ngoja niseme full stop 
ngoja niweke mshangao? kwa wale wanaojiita wanapesa 
aiiiii wewe pesa ipo huku kwa Mrs Ivan Semwaga
utajibebaaaa
 
Muacheni Mungu aitwe Mungu jamanii?? hivi wengine tunao wajua sisi wangekuwa na maisha haya ingekuwajeee?? aisee Mungu anajua nani ampe na nani amnyime basiii inatoshaaa,,,,, basi uache kuwaumiza watu kwani wenye vijiba vya roho wanakomajeee?
Ms Zari hauna mpinzani ujue wengine ni hashuo tu i cant wait ukija Dar  utaendelea kuw boss Lady na hakunaga East Africa 

je umeshawahi kumuona Zari akimuanika mumewe hovyo??NO,,,,, watoto?NO 

basi juwa masikini akipata matako hulia mbwataaaaaaaaaaa.


Tunaongea na mwenye mbwa na hatuongei na mbwa kama wewe unalishwa sie wa nini?? tunaongea na hustla n the street

friday muruwaaa sweet heart lotion.