Blogger Widgets

August 24, 2012

Huu Ndio ujio mwingine wa Kalala JUNIOR twanga pepeta Baada ya kutoka Mapacha watatu

 Like and joinFOL CLASSIc


   Kalala Junior akionesha umahiri wa kupiga Drums akiimba (kushoto) akiimba sambamba na Saleh Kupaza
 Mwanamuziki aliyejiunga na Twanga Pepeta akitokea bendi ya Mapacha Watatu, Kalala Junior akiimba nyimbo yake mpya Nyumbani ni Nyumbani wakati wa mkutano wa kumtambulisha kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kiongozi wa bendi hiyo, Saleh Kupaza.
Kalala Junior (kushoto), akiimba sambamba na Kiongozi wa Bendi hiyo, Saleh Kupaza wakati wa mkutano na waandishi wa  habari jijini Dar es salaam jana
  Mwanamuziki aliyejiunga na Twanga Pepeta akitokea bendi ya Mapacha Watatu, Kalala Junior (wa pili kushoto) akiwaongoza wanenguaji wa bendi hiyo wakati wa mkutano wa kumtambulisha kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam