Click
“Jion This Site” uwe MEMBER of FOL CLASSIC
Mkali mwingine wa miduara AT na madansa
wake wakilishambulia jukwaa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,akiimba
jukwaani na shabiki wake.
Mashabiki wakitaka kuangusha uzio uliowekwa
kwa ajili ya usalama.
Baadhi
ya Askari wakijaribu kuweka usalama wa kutosha
kwa Mwanamuziki Rick
Ross
imara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,
kwa ajili ya
kutumbuiza kwenye
tamasha la Serengeti Fiesta 201.
Viwanja vya Lidaz palikuwa hapatoshi hata kidogo.
yeye akikamua
stejini.
Msanii
wa miondoko ya rusha rohoo a.k.a Miduara,Shilole
akijiachia jukwaani
vilivyo na
madansa wake usiku huu mbele ya umati mkubwa u
liofika kwenye
viwanja vya Lidaz
Club,katika kuhitimisha kilele cha tamasha la
Serengeti Fiesta 2012.
Sehemu
ya umati watu waliojitokeza kila kona jiji la Dar na kwingineko
kuwashuhudia wasanii mbalimbali
wakitumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la
Serengeti Fiesta 2012,akiwemo Mwanamuziki wa kimataifa
kutoka nchini
Marekani,Rick Ross.
Wasanii
wa kundi la Wanaume TMK,likiongozwa
na Mh Themba sambamba na Chege
Chigunda wakilishambulia jukwaa v
ilivyo usiku huu kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta
2012,linaloendelea hivi sasa katika
viwanja vya Lidaz
Club,Kinondoni jijini Dar.uwanja wa
Lidaz Club hapatoshi kabisa usiku
huu.
Nyomi la Watu ile balaa usiku huu.
Wasanii wa kikundi cha Makomando kutoka THT
wakionesha umahiri wao wa kucheza
jukwaa.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani a
kionesha mbwembewe zake kabla
ya
kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa
uliojitokeza kwa wingi
usiku huu ndani ya
viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar
Msaniii mahiri wa kizazi kipya,Barnaba Boya kiimba
jukwaani huku Dyana na skwadi lake
wakionesha mbwembwe zao kama kawa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barnaba Boy
akiimba jukwaani usiku huu
Mmoja
wa wshindi wa shindano la Serengeti S
upa Nyota 2012,Youk Killer
akishusha
mistari yake nguvi usiku huu,huku shangwe na vigele vigele
vikiwa vimetawala.
Mmoja wa washindi wa shindano la Serengeti
Supa Nyota 2012,Jo Maker akifloo jukwaani. .
Baadhi ya mashabiki wakijiachia vilivyo usiku 2012
huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta
![]() |
| Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,NeyLee akiimba jukwaani . |
Baadhi
ya wasanii kutoka nyumba ya vipaji THT
wakiamsha amsha usiku huu wakati
tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea huku mashabiki
na wapenzi
wa tamasha hilo
wakiendelea kumiminika usiku huu ndani ya
viwanja vya
Lidaz Club,jijini Dar.
Mmoja
wa wasanii chipukizi kutoka kwa THT,
akiimba kwa hisia mbele ya umati
mkubwa
wa watu (haupo pichani),uliojitokeza kushuhudia
wasanii wa hapa
nyumbani na nje
wakitumbuiza katika jukwaa moja usiku huu.
Mmoja wa wasanii chipukizi akinogesha jukwaa
The Wacko Jako wa bongo akifanya vitu vyake jukwaani usiku huu
Baadhi
ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa
tayari ndani ya
viwanja vya Lidaz
Club,Kinondoni jijini Dar usiku huu wakati wa
tamasha
la Serengeti Fiesta likiendelea
kurindima,huku wakimsubiri kwa hamu
mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini
Marekani,Rick Ross ambaye
anatarajia kukamua usikuu huu.
Wasanii wa kikundi cha Makomando kutoka THT wakionesha
umahiri wao wa kucheza
jukwaa.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani
akionesha mbwembewe zake kabla
ya
uliojitokeza kwa wingi
usiku huu ndani ya
kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa viwanja vya Lidaz
Club,Kinondoni jijini
Dar
Msaniii mahiri wa kizazi kipya,Barnaba Boya kiimba j
ukwaani huku Dyana na skwadi lake
wakionesha mbwembwe zao kama kawa.
.
![]() | ||||||||||
Mwanamuziki
kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba
jukwaani usiku huu mbele ya
maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja
vya
Lidaz Club,wakati
wa tamasha la Serengeti Fiesta likirindima.










































No comments:
Post a Comment