Blogger Widgets

October 9, 2012

Huu Ndio Muonekanao wa warembo wa miss Tanzania Ndani ya Bonanza la Arusha

Click “Jion This Site” uwe MEMBER of FOL CLASSIC

 Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakishiriki kucheza mpira wa Miguu na Watoto Yatima kwenye uwanja wa Arusha School katika michezo ya hisani kuchangishdha kwaajili ya kusaidia watoto yatima na waishio katika mazingira magumu.Mbali na michezo pia walishiriki kuosha magari.

  Warembo wakivutana kamba na wakazi wa Arusha.


 Warembo wakishiriki kuosha magari ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha wakazi wa jiji la Arusha kuwachangia fedha kwa ajili ya mahitaji mbali mbali watoto yatima wa Jijini humo.

 
Kwaito ilichezwa kisawa sawa.

No comments:

Post a Comment