Blogger Widgets

January 27, 2013

Mkazi wa Tandika aliyepigwa Risasi na mfanyabiashara mmoja kwa deni la Sh.100/= alazwa Hospitali kama inavyoonekana

 MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa (Picha Na Christopher Nyenyembe )