Blogger Widgets

February 1, 2013

Mwanamke alietia Fola Kwenye Mechi Iliyofanyika South Afrika Baada ya Kuvua Nguo na Kuanza Kushangilia


Hili  limekuwa  ni tukio  la  pili kwa  mwanamke  kuvua  nguo  uwanjani.....


Matukio  yote  yamekuwa  yakitendeka Afrika  kusini ambako  timu kadhaa  zimekuwa  zikiendelea  na  michuano......



Inasemekana  makahaba toka  nchi mbalimbali wamekwisha  tia  kambi  nchini  afrika  kusini tayari  kwa  kuwanasa wateja  wao.....



Wiki  chache zilizopita tulilipoti  kuwa  kahaba  maarufu  toka  Tanga naye  amekwisha  wasili  eneo la  tukio......


Yanayotendeka  huko ni laana  tupu....