Blogger Widgets

February 1, 2013

Sasa Wema Sepetu aamua Ku vunja Ukimya wake Kuhusu Kuchukua Form ya Big brother Africa

 
Muigizaji Wema Sepetu, leo hii ametia tim offisi za Multchoice na kuchukua form kwa ajili ya kushiriki kwenye mchakato wa kwanza wa shindano la Big Brother  Africa BBA, 2013