Blogger Widgets

March 6, 2013

Picha Mbalimbali ya Nyumba atayohamia Msanii Trey Songz kodi ni Tshs milioni 56 kwa mwezi

Hii ni nyumba ambayo Trey Songz anahamia, huko Hollywood. Anatarajia kuhamia April 1. Ni nyumba iliyopo kwenye eneo la 13,000 sq. ft. ikiwa jirani kabisa na nyumba anayoishi Ne-Yo na ambayo hata hivyo sio yake bali amepanga tu na atakuwa akilipa dola 35,000 kwa mwezi sawa na kama shilingi milioni 56 za kitanzania.
ScreenShot2013-03-05at35357PM
Ina vyumba 10, mabafu 12, movie theater, gym na lift. Zitazame picha zenyewe.
ScreenShot2013-03-05at35316PM
ScreenShot2013-03-05at35328PM
ScreenShot2013-03-05at35345PM
ScreenShot2013-03-05at35450PM
ScreenShot2013-03-05at35457PM
ScreenShot2013-03-05at35505PM
ScreenShot2013-03-05at35513PM

ScreenShot2013-03-05at35542PM
ScreenShot2013-03-05at35600PM  
Source:Bongo5