Blogger Widgets

June 2, 2014

Tazama Picha Jinsi Diva wa Clouds Fm Atakavyouza Kwenye Video ya nyimbo ya WAUE ilioimbwa na Chege na Temba


Mwanadada, Mrembo, Muimbaji,Mtangazaji  wa Clouds FM, DIVA THE BAWSE kwa mara ya kwanza ataonekana kwenye VIDEO ya nyimbo ya Waue ilioimbwa na Chege na Temba chini ya Mkubwa Fella.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM  mwanadada huyo aliweka picha akiwa yupo LOKESHENI waki SHUT video hiyo...

Diva aliandika hivi:
wauwe location .. Video @chegechigunda Nitaonekana Katika Video ya Chege ..... and am so Excited ������

Kwaupandewake Chege aliandika hivi:
#wauwepart2 na @divathebawse ndani @mhtemba @mkubwafella @maromboso #wauwe

Nakuweka picha hii: