Blogger Widgets

March 4, 2013

Picha zilizosambazwa za Mbunge akifanya Ngono na wanawake wawili,Na huyu ndio Mbunge mwenyewe


Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa waziri wa mambo ya rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye alilazimika kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha akifanya tendo la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.
Kwakweli bado haijaeleweka hasa walioamua kumsambaza mtandaoni walikuwa na lengo gani naye zaidi ya kumdharirisha na kumfedhehesha namna hii.
Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwake na kwa familia yake,serikali ambayo yeye alikuwa ni mhimili wake na hata wananchi wote wa Liberia (picha hii nimekata "croping" makusudi kulinda maadili ya mtanzania,lakini shughuli iliyokuwa inafanyika nafikiri inaonekana).