Blogger Widgets

March 2, 2013

Video ya Jay Z na Beyonce iliyozua Utata kwa Madai wanonekana Kuabudu mashetani Live!!DEVIL WORSHIPERS


Video imezua utata mkali ikielezea kwamba Jay Z na mkewe Beyonce wanaanudu mashetani. Tumeona show tofauti tofauti zikionyesha Jay Z na Beyonce wakionyesha alama ya pembe tatu (triangle).
Alama hiyo imeonekana ikitumiwa sana na watu wanao abudu mashetani kama inavyoonekena kwenye kwenye hiyo video. Pia Jay Z amekuwa akitoa mavazi yenye alama za kishetani kwa kutumia kampuni yake ya Roca Wear.

Video hiyo pia inaonyesha matukio tofauti tofauti yaliyojiri siku chache zilizopita katika super bowl ambayo yanaonyesha kwamba Beyonce anaweza akawa anaabudu mashetani.


Je ni kweli Beyonce na Jay Z wanaweza wakawa wanaabudu mashetani? Nobody Knows……… Except Jigga and Queen B