Blogger Widgets

April 28, 2013

Check Matukio ya Uzinduzi wa "Love Me" Ya Izzo Biznes Ndani ya Ambassadors Lounge

Baada ya miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na Quick "Ball Player",sasa usiku wa kuamkia leo ndani ya Ambassadors Lounge ameachia single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi zaidi akiwa na Shaa pamoja na Barnaba. 
Hizi ni picha za mastaa na watu mbalimbali waliofika Ambassadors Lounge kusikiliza single hiyo mpya ambayo ilipigwa live...!!!!!!!!!!!!!!!














From:Fetty