Blogger Widgets

May 16, 2013

Aunt Lulu Aja na Mpya ni Aibu

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amepigwa ‘stop’ kutembea na marafiki wanaodaiwa kuwa ni wanaume wenye vitendo vya kike ‘Kuku Watamu’.

Akizungumza na paparazi wetu, Aunty Lulu alisema baada ya kuandamwa na maneno juu ukaribu wake na wanaume hao, mama yake mzazi na mpenzi wake wa sasa ambaye hakutaka kumtaja, wamemzuia ‘kumpiga stop’ kumuona na watu hao.


“Sasa hivi ndugu zangu ndiyo wamekuwa marafiki zangu, sitembei kabisa na kuku watamu. Siwezi kumuudhi mume wangu mtarajiwa, mama na hata ndugu wengine, nimeamua kuachana nao,” alisema Aunty Lulu ambaye pia ni mtangazaji ‘deiwaka’.

From:GPL