Blogger Widgets

May 16, 2013

Check Out:Barua Iliyoandikwa Na Beyonce kwa mkono kuomba radhi kwa kuahirisha show ya kwanza katika maisha yake


tumblr_mmtnbfsSiA1rqgjz2o1_1280

BEYONCE amelazimika kuandika barua kwa mkono kuwaomba radhi mashabiki wake Ubelgiji baada ya kuahirisha show yake ya juzi.Muimbaji huyo aliahirisha show yake ya Antwerp iliyo sehemu ya ziara yake ya dunia ya Mrs Carter kutokana na uchovu na
kupungikiwa maji hali iliyokuza tetesi za kuwa ni mjamzito tena.
Queen Bey alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na website yake akiomba radhi.