Blogger Widgets

May 27, 2013

Check Picha Jinsi Feza Kessy Alivyokalibishwa Jana Ndani Ya Jumba La Big Brother

FROM BIG BROTHER THE CHASE EVENT IN DAR.


Feza Kessy
Nando Ammy 
Salma n Gyver
ladies
Furaha n Mwisho
Stunning
Ceo n papa monkey come on
Ms Kambodya n Hilda
cute
caption this
Former BBA house mates from Tanzania
n
Ms Kambodya


Yametimia hatimaye Tanzania inawakilishwa na Feza na Nando, kwakweli washiriki wetu ni wazuri ni muda muafaka kuwa support inapohitajika na sikuongea blah  blah mtaani na kwenye social networks ni ku vote them in sana tu, hebu tushikamane na tuwe na upendo wa kupiga kura yaani tufanye vitendo kwa sana na si maneno mitaani,
they really need our support, kutoka samakisamaki  nikikupa report hizi
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki washiriki wetu na sisi wapiga kura. lets bring $300,000 home.
From:SINTA