Blogger Widgets

May 20, 2013

Exclusive Picha:Picha Za Ngasa Akionekana Akisaini Rasmi Mkataba Wa Miaka Miwiwli Ndani ya Timu Ya Yanga

Akiweka dole gumba, kulia ni mmoja wa majembe ya usajili la Yanga, Abdallah Bin Kleb
Akisaini fomu...

Akimalizia kusaini mbele ya Majjid Seif (kulia) na Mohammed Bhinda, katikati.           From:SalehJembe