Blogger Widgets

May 18, 2013

Halima Mdee Azungumza Ukweli Wake Juu ya Skendo ya Usagaji Uliomuandama

Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya 
so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee jana amefunguka
 juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa 
kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja.
aah unajua huwezi kuzuia watu kusema, na
 mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, 
lakini ukitaka kumjua Halima unaweza 
ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia
 alipotoka, historia yake na mahusiano yake, 
ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa wanayajua, 
watu wanapenda ku speculate pale ambapo 
wanaona kitu ambacho hawati kuona, 
 sasa hilo swala lilishaandikwa sana,
 nadhani walioandika baadae wakaja
 kuomba radhi kwasababu waligundua 
wameandika kitu kisicho sahihi, probably
 kutokana na sauti yangu you know, 
probably kutokana na tembea yangu, kwasababu 
mimi nimekulia kwenye familia ya 
wanaume watupu umeona eeh, mimi nimekuwa
 ni mpambanaji tokea utotoni, kwasababu 
nimezungukwa na jeshi la kibabe, thats who iam, 
lakini mtu anaetaka kumjua Halima na ana
uhuru tu, hata akitaka niwatajie list ya watu 
wangu i can do that, lakini sidhani kama is their
 damn business, cause ma life is personal, na
 wakitaka kuchunguza wachunguze kwa mpango
 wao na watapata taarifa, kwa uhuru tu, na 
wanaweza wakatoa tangazo kwamba jamani 
watu waliowahi kuwa na uhusiano na huyu 
if any wajitokeze, watajitokeza kama wapo upande
 huo, watajitokeza kwasababu sasa hivi si dunia huru bana
From:Gpl