Blogger Widgets

May 28, 2013

Jinsi Diamond Platnum Atakavyoonekana Usiku wa Leo Ndani ya Take One ya Clouds na Zamaradi Mtetema

              Don't miss Exclusive Interview ya Msanii wa Bongo Flavour Diamond
Platnumz ndani ya
Take One ya Clouds Tv kupitia Presenter wake Nguli
Zamaradi Mketema......

Usikose kuangalia Leo ndani ya Clouds Tv kuanzia saa 3,
Usikie Jinsi Diamond alivyofunguka juu
ya Mafanikio yake kwenye muziki wa kizazi kipya,Changamoto
alizopitia & anazopitia kwenye muziki,Maisha
yake ya mahusiano kiujumla,Familia na mengineyo zaidi aliyofunguka
kupitia TAKE ONE ya Clouds Tv....

Kujua mengi zaidi kaa mkao wa kula ndani ya Clouds Tv
kuanzia saa 3.....TAKE ONE & ACTION.....
USIKOSEEEEEE......!!!!