Blogger Widgets

May 16, 2013

Jinsi FundiSelemala Alivyofumaniwa na Kutaka Kuvunja Ndoa ya Watu


    Habari wana 

    Kisa
    Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala amrekebishie chaga za kitanda zilikuwa zimeharibika, kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya above +18.

    Wakati fundi anaendelea na kazi kumbe mmeo huyu dada alishafika. hakutaka kumjulisha mkeo, kwa nia nzuri tu ya kumfanyia suprise, kwani alikuja na mazaga zaga kibao. Hiyo aliingia kwa kunyatia hadi kwenye mlango wa chumbani kwao. Ghafla akasikia mazungumzo ya mkeo na fundi ndani. Mazungumzo yalikuwaje? fuatilia hapa chini

    Mama X: Fanya haraka mme wangu amekaribia
    Fundi: Nakaribia kumaliza, nisaidie kuchomeka vizuri upande wako (akikusudia chaga)
    Mama X: Mbona haiingii
    Fundi: Ingiza kwa upande upande
    Mama X: Sukuma kwa nguvu
    Fundi: Angalia usiumie
    Mama X: Hamna shida imeingia    Wakati jamaa akiendelea kusikiliza mlangoni, fundi akaweza godoro juu ya kitanda na mama x akajitupa kitandani kujaribu kama kimetengamaa. mara chaga akachomoka na kuanguaka chini. Nini kilifuata

    Mama x: Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiii(miguno) "my God, mbona hivi"
    Fundi : Pole sana
    Mama X: sasa?
    Fundi: Ngoja nichomeke tena
    Mama X: Yaan wewe, utaacha mme wangu afike hatujamaliza
    Fundi: Usijali namaliza sasa hivi

    Baada ya dakika chache, fundi akamuaga mama na kumwambia tayari, sasa naona umefurahi. Kutoka tu mlangoni akakutana uso kwa uso na jamaa amekunja ndita kama matuta ya viatu. Gues what happened?

    Mwayaaaaa!!!! Ni Story Kutoka kwa Admin:Usiku Mwema