Blogger Widgets

May 21, 2013

Moja Ya Picha za Watu Sita Waliokamatwa wakiwa Wanataka Kurecord Mkanda wa Ngono na Kutiwa Mikononi Mwa Polisi


Watu sita mjini  Nakuru Kenya  wametiwa  nguvuni baada  ya  kunaswa  wakipiga  picha  za  uchi  kwa  ajili ya filamu yao ya ngono.....
Tukio hili limetokea  ikiwa ni siku chache  tu  baada  ya  kundi  jingine  la  warembo 11  kunaswa  wakifanya  mapenzi  na mbwa  huko  Mombasa....
Habari  zinada  kwamba, tukio hili la Nakuru lilinaswa na walinzi wa jengo ambalo  vijana  hao walikuwa wakilitumia kushoot video yao kinyemela.....
Wakiwa katika doria ya kawaida, mlinzi mmoja  alishangaa  kuona  nguo  zikiwa zimewekwa kando katika  floor ya  kwanza  ya  jengo  hilo  ambalo  lipo  katika  matengenezo...Walipofanya upekuzi, walifanikiwa  kuwanasa  vijana  hao  wakiwa  katika  hatua  ya  kupigana  picha  uchi  huku  wakitomasana, wakinyonyana,  na  maandalizi  mengine  ya  tendo  hilo.....

Baada  ya kuwanasa, walinzi  waliita  polisi  na  warembo  hao  wakatiwa  nguvuni.... 

Source:KenyanaDailypost