Blogger Widgets

May 16, 2013

Picha za Utata za Model wa Kenya aliyeingia Kenye Skendo ya Kumgombania CMB PREZO na Loveness LoveThis is a New photo
Hivi karibuni Huddah Monroe wa Kenya ametokea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania hasa kutokana na vita yake ya Jumapili iliyopita na Diva juu ya Prezzo. Huddah aka Thee Boss Lady anajulikana kwa picha zake nyingi za utata na maisha yake hayo controversial yamemfanya awe model wa Kenya
anayezungumzwa zaidi kwenye mtandao. Ingia ndani kuona picha za utata za hivi karibuni za mlimbwende huyo.
From:Bongo5