Blogger Widgets

June 10, 2013

Jana Ndio Ilikuwa Hukumu ya Feza Ndani ya Jumba la Big Brother Ikiambatana na Kutoka kwa Mshiriki wa Uganda


Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa huzuni kwa wenzetu
 waganda baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amebaki
 naye kuyaaga mashindano lakini  ilikuwa ni siku ya
 furaha zaid kwa watanzania baada ya Feza aliyekuwa
 hatarini kutoka kutoka na badala yake votes zimemuokoa
 na ataendelea kuwemo mjengoni pamoja na mtanzania
 mwingine Nando, na nchi zilizopiga kura,tungetegemea
 majirani zetu Uganda na Kenya kuvote kwa Feza 
 lakini ilikuwa kinyume,ni Tanzania na nchi za west africa,Ghana &Sierra leon 
kitu kilicholeta mtafaruku mkubwa on social networks,na 
zamu hii Mwakilish wa 
kenya yuko on danger,do u think ni nini kitatokea..lets wait n see