Blogger Widgets

June 5, 2013

Jana Tulitoa Habari Juu ya Binti Aliyekamatwa na Madawa ya Kulevya na Kusadikiwa Kunyongwa Ijumaa Hii.Check Video na Picha kwa UshahidiAsubuhi  tuliripoti  juu  ya  kuwepo  kwa  mtanzania  mwenzetu  anayetarajiwa  kunyongwa  ijumaa  hii (   bado  hatuna  uhakika  ).....

Tumefanikiwa  kuinasa  video  wakati  akikamatwa  na  madawa  ya  kulevya... 

 
Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri. 

Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa

Mrembo Fatma aka Brown Berry katika pose
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake  
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake

Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo

Baadhi ya maoni   kutoka  youtube  ambako  video  hii  imepachikwa