Blogger Widgets

July 28, 2013

Mcheck Tajiri Edger Davis Mosha Mtoto Mdogo Tajiri akiwa anahojiwa na Voice Of America

Edgar Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni ya DELINA  Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani wakitokea Uingereza ambapo Edgar amepeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuitwa  kufanya majaribio na klabu ya Chelsea ya Uingereza. Swahili TV itakuletea Exclusive video karibuni.
 Davis Mosha "The Boss" akifanya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington DC, kulia ni mwanae Edgar Mosha mwanafunzi mwenye kipaji cha masomo na soka.
 Davis Mosha "The Boss" akifurahia jambo katikati ya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington DC.
Kutoka kushoto; Juliet , Sunday Shomary, Edgar Mosha, Davis Mosha "The Boss" na Chief wa VOA Idhaa ya Kiswahili Dkt. Hamza Mwamoyo.
Davis Mosha "The Boss" na Edgar Davis wakipata picha ya kumbukumbu baada ya kuteta na VOA, Jijini jijini Washington DC
Edgar Davis, Davis Mosha "The Boss" na mtangazaji mahiri bwana Sunday Shomary 
Juliet, Alex Kassuwi, Edgar na The Boss wakipata picha ya ukumbusho VOA.
Baada ya mahojiano na kituo cha VOA msafara wa The Boss ulielekea SEquoia kwa hafla fupi .
Edgar na Juliet wakiwa Sequoia water front