Blogger Widgets

July 24, 2013

PHOTOS:Msanii Lady Gaga Afanya Kufulu ya Kuvua Nguo Zote na Kupiga Picha Akiwa Mtupu Kwa Ajiri ya MagazineLady Gaga afanya funika kwa kupiga picha kwaajili ya gazeti la V akiwa hajavaa nguo hata moja. Lady Gaga anatarajia kutoa album yake mpya itakayoitwa Artpop.

Artpop itakuwa sokoni mwezi wa 11 na nyimbo ya kwanza kutoka kwenye hiyo album itatambulishwa mwezi wa nane tarehe 19.
Hivi karibuni Forbes magazine walisema Lady Gaga ndiye msanii anayeongoza kuwa na hela kuzidi wasanii wote wenye umri chini ya miaka 30.