Blogger Widgets

August 3, 2013

Check Picha Jinsi Birthday ya Mtoto wa Snura Ilivyokuwa

 
Snura akipokea keki kutoka kwa mtoto wake Salha.

 
Mastaa wa kali Bongo, Aunty Ezekiel na Wema Sepetu baada ya kufuturu.
 
Aunty akipokea keki kwa mtoto Talha.
 
Mastaa wakali wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Jacob Steven ‘JB’na Aunty Ezekiel wakiwa katika picha ya pamoja.
 
Wema Sepetu akiwa katika  pozi.
 
Watu mbalimbali waliohudhuria kwa upande wa wanaume.
.
..kwa upande wa wanawake.
 
Dokta Cheni (kushoto), Wema Sepetu (katikati) na Petit man (kulia)
 
Hii ndiyo keki ya mtoto wa Snura
 
Mtoto Talha akiingia ukumbini
 
Adam Kuambiana (kushoto), Jacob Steven ‘Jb’ (kushoto)  wakiwa na mtoto wa Snura, Talha .
 
Mtoto Talha akimlisha mama yake keki.
 
Dokta Cheni akilishwa keki.
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi jana alimfanyia mwanaye, Talha Kassimu  bethdei ya nguvu iliyoambatana na kufuturisha.
Zoezi hilo lilifanyika nyumbani kwa  Snura maeneo ya Mwananyamala ambapo wasanii mbalimbali walihudhuria kwenye futari na sherehe hiyo ya bethdei ya mwanaye aliyetimiza miaka mitatu.