Blogger Widgets

August 12, 2013

Kim Kardashiani Aja Na Style Mpya.Check It

 

Mwanamitindo na mtangazaji asiyekaukiwa na matukio mbalimbali nchini
Marekani,Kim Kardashian ameibuka na jipya ambapo safari hii inaelezwa kuwa
ana mpango wa kuanzisha mavazi yenye jina la Mwanaye....
Rafiki wa Karibu wa Star huyo amesema Lloyd klein amesema ''Mpango wa Kim
wa sasa ni kuhakikisha anaibuka na staili mpya ya mavazi ya watoto na kwakua
amejifungua hivi karibuni basi jina la mwanaye North west ndilo litakalotambulisha
aina hiyo mpya ya mavazi''Licha ya mtu huyo wa karibu wa Kim kufunguka,lakini star huyo ajafunguka
Kiundani zaidi....Basi cheza na Blogsite yako kupata habari moto moto na
za kina zaidi...