Blogger Widgets

August 3, 2013

Soma,Sikiliza na Angalia Alichokisema Huddah From Kenya The Way Anavyopenda Kusu** Lollpop.DAMN!


Wengi tumeshajua Huddah Manroe   ni  nani (hasa kwa wale mnaofuatilia mitandao ya kijamii) she is a star, na  kila linapotokea tukio la kumhusu mara nyingi huwa linazua gumzo.


Huddah kupitia akaunti yake ya twitter amepost video yenye heading ‘Huddah loves su**king things’, na katika video hiyo mtoto huyo mzuri na aliyekuwa mshiriki wa Kenya katika The Chase anaonekana anailamba lollipop (kimtego sana) na kurudia mara nyingi kuwa anapenda kunyonya vitu.


Akiwa mbele ya kamera Huddah kaanza kwa kucheka kisha akajitambulisha na kusema anapenda kunyonya vitu kama hiyo lollipop aliyoishika….