Blogger Widgets

August 3, 2013

Wengi Waiongelea Hii Tattoo ya Prezzo Aliyoiongezea yenye picha ya binti yake


BQjOa3OCMAA2abX
Tattoo hiyo amejichora kwenye mkono wake wa kushoto.
BQjQlQCCQAAC9Ur 
Prezzo ameachana na mke wake lakini mapenzi yake kwa mtoto wao yapo pale pale. Katika kuonesha kuwa anampenda na kumjali mwanae wa kike, Rapcellency ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani kwa tour ya mwezi mzima, ameongeza kwa kujichora
tattoo nyingine kwenye mwili wake.