Blogger Widgets

September 22, 2013

Check MatukioYote Ya Kumpata Miss Tanzania Yaliyokuwa Yanafanyika Jana Mlimani City Mpaka Kumpata Happiness Watimanywa

25_cf4d2.jpg
Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni mshindi wa tatu,
19_8fd14.jpg
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa Onyesho la Taifa la Urembo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
1_f9134.jpg
2_d3e74.jpg
3_d9871.jpg
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakifungua shindano la mwaka huu kwa kuonyesha ufundi wao wa kucheza muziki. Shindano la mwaka huu ambalo limedhaminiwa na kampuni ya vinywaji Tanzania.Tanzania Breweries Limited kupitia kinywaji cha Redds limefanyikia katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-salaam. Jumla ya warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali,vyuo nk wameshiriki.
21_2553f.jpg22_8230a.jpg
Warembo walioingia hatua ya kumi na tano bora
23_60dc5.jpg
Jaji Mkuu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Dkt. Ramesh Shah akitangaza Warembo walioingia hatua ya tano bora.
24_46dfe.jpg
Warembo walioingia hatua ya tano bora,toka shoto ni Happiness Watimanya,Elizabert Peter,Clara Bayo,Lucy Tomeka pamoja na Latifa Mohamed.
8_87e0f.jpg9_acccd.jpg10_651bd.jpg11_f76c4.jpg12_45298.jpg13_5fb64.jpg14_5cf3b.jpg
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakipita jukwaani na mavazi ya aina mbali mbali wakati wa Onyesho la Taifa Redd's Miss Tanzania 2013 linalofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam usiku huu.
17_f6939.jpg
Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa Kizazi kipya hapa nchini,Lady Jay Dee akitoa burudani kwenye Onyesho la Redd's Miss Tanzania 2013,linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE: CATHBERT KAJUNA (Kajunason Blog) NA OTHMAN MICHUZI (Mtaa kwa Mtaa Blog)