Blogger Widgets

September 22, 2013

Tamko La Agness Masogange Baada ya Kuachiliwa South Africa

 
Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya.

Lakini hata hivyo kwa mujibu chanzo chetu toka kwa mtu wa karibu na familia yake,  Masogange  amesema  hatohitaji mapokezi yoyote pindi atakapowasili nchini kwa vile hao wanaopanga mapokezi ndio

wanafiki wakubwa ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.