Blogger Widgets

October 3, 2013

Bad Gumzo Juu y a Gazeti lililotoa Taarifa Kwamba Wema Kunyongwa China


Hili ni gazeti ama mfano wa
gazeti

"Hizi biashara za siku hizi mtu akipata laki mbili yake tu anaanzisha gazeti mwisho kutakuwa na hata gazeti linaitwa Sintah khaa, ndio maana watu wanawadharau waandishi hii ni kutokana na taaluma ndogo waliokuwa nayo baadhi yao, sasa kwamfano hio story hapo juu inatufundisha nini ati?

Sasa akirudi salama mtasema kahonga?? waandishi muwe mna maadili ya kazi zenu sio kuropoka ropoka tu, watu wana wazazi ndugu jamaa na marafiki wanao waheshimu hata kama mtu ndio kula yako basi andika ya ukweli, kichwa cha habari kinaweza mfanya mtu azimie, kunyongwa si kazi ndogo ujue??? serikali inatakiwa pia iwafungie magazeti kama haya yanayojiandikia tu pasipo na msingi na maadili ya uandishi" Sintah