Blogger Widgets

October 18, 2013

Ben Paul Nae Afanyiwa Mbaya Atoa WarningKama dakika chache zilizopita msanii mahiri wa Bongo Fleva, Ben Pol amelalamika kwamba kuna mtu amefanikiwa kuingia katika account zake zote za Facebook na kuzitumia account hizo visivyo …

Soma maneno ya Ben Pol hapa alicho kiandika katika ukurasa wake wa Twitter ..