Blogger Widgets

October 18, 2013

Hii Kali:Itazame Restaurant ya kisasa....Ni Mgahawa Wenye Meza ya Kulia Vyakula na Viti Vyake Vya Kukali Ndio Choo Hapo Hapo.(TOILET-RESTAURANT)


Hii ndiyo choo nchini California yenye sehemu ya kupumzikia ukiwa unakula..choo hiki kilifunguliwa oktoba 11 na ni sehemu inaovutia hata kwa usafi wake..Tazama picha nyingine hapa chini..