(Photo) Angali jinsi wezi walivyotaka kumuibia JAFFARAI Kwenye Gari Lake
Katika ukurasa wake wa IInstagram msanii anayewakilisha kundi la WATEULE
wengi tunamjua kwa jina la Jaffarai usiku wa kuamkia leo wezi
walijaribu kutaka kumuibia vifaa vya gari lake lakini wakagonga mwamba
na kukimbiza. Angalia status aliyoiandika dakika chache zilizopita
No comments:
Post a Comment