Blogger Widgets

October 18, 2013

Picha: Kim Kardashian ashambuliwa na mashabiki wake kwa kuweka picha hii Instagram ya Utupu

Mashabiki wa Kim Kardashian hawajafurahishwa na kitendo cha mrembo huyo kipenzi cha Kanye West baada ya kupost picha Instagram akiwa na kivazi cha kuogelea ikiwa ndio picha ya kwanza ya aina hiyo toka amekuwa mama.
Kim swimsuit
Ni takriban miezi 4 toka Kim ajifungue North West na katika kipindi chote hicho amekua akipost picha zinazoonesha mabadiliko ya mwili baada ya kujifungua, lakini jana alipost picha (hapo juu) ambayo baadhi ya watu wameipokea tofauti na kumkosoa kuwa yeye kama mama hakustahili kuweka picha kama hiyo!
“Kim Kardashian you are a MOTHER now I don’t think posting pictures of your a$$ on Instagram is appropriate”, ni kati ya tweet zilizocriticize picha hiyo huku mwingine aki comment “Smh @ Kim Kardashian’s latest selfie. Put on some mom jeans and go feed Compas”.
kim comments

Kwa mujibu wa Mail Online, Kim amepokea comments nyingi kutoka kwa followers wake ambao wamempa majina kama ‘nasty, ‘disgusting’.