Blogger Widgets

October 10, 2013

Picha Penny Akimbizwa Hospital Baada Ya Kuona Picha Za Wema Na Diamond …

hos
Story zilizopo ni juu ya msanii wa bongo Fleva Daimond anavyo endelea kuwachanganya wasichana wa kibongo na hii ni mpya kabisa  baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye mitandao ya kijamii, Kuwa Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena  apo ndipo ikampelekea  Dvj Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa Hospitali.

From:Gongamix