Blogger Widgets

October 7, 2013

Picha za Msanii Linah Baada ya Kuvishwa Pete ya Uchumba na Pedeshee.Huku Joh Makini na Stamina

 MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka nyumba ya kukuzia vipaji Tanzania,Estelina Sanga 'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele ya kadamnasi baada ya kuziweka wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa Bongo, wakati akipigwa picha hizi Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea kujificha tena kwani umri wake umeshafikia hatua ya kuolewa.
 Linah akiwa kwenye pozi
 ...akiwaza namna atakavyoanza maisha ya uchumba katika umri huu wa utu uzima wake
 akionyesha pete ya uchumba