Blogger Widgets

October 18, 2013

Tazama Jinsi Mauno yanavyokatwa kwenye Hizi Picha za Maandalizi ya Video Mpya anayoishoot Shaa inaitwa "SUGUA GAGA"

Tegemea kuona sherehe za uswazi zilivyo kwenye video mpya ya Shaa, Sugua Gaga. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya usimamizi wa kampuni ya Mkubwa na Wanae ya Said Fela, ameshoot video ya wimbo huo maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam. Muongozaji wa video hiyo ni Adam Juma. Tazama picha za uchukuaji wa video hiyo.
6B3A5826-682x1024
6B3A5860-682x1024
6B3A6143-682x1024
6B3A6152-682x1024
6B3A6158-735x1024
6B3A6183-1024x682
6B3A6193-682x1024

6B3A6247-1024x682
6B3A6251-1024x682
6B3A6252-682x1024
6B3A6259-1024x682
6B3A6273-1024x682
6B3A6290-1024x682
6B3A6297-1024x682
Source/photo credits: GongaMX, Slide Visuals