Blogger Widgets

October 10, 2013

Tazama Picha za Movie Mpya ya Jacklyne Wolper alivyocheza Kama MTOTO WA RAISI

jack wolper 600

MWIGIZAJI wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Swahiliwood Jaqueline Wolper aka Wolper Gambe ameingia mzigoni na kuibuka na staili kama ya gwiji la muziki na filamu ulimwenguni hayati Whitney Houston pale aliposhuka na bonge la movie la Bodyguard na sasa Jack naye kaigiza kama mtoto wa Mh. Rais ni mzigo kutoka kampuni ya RJ Company chini ya Director Ray.

.
jacck 600 b


        Jack wolper Mwigizaji wa filamu Swahiliwood.Wolper Gambe akiwa katika picha ya pamoja na walinzi wake katika movie la Kiikulu.
Wakati mkali huyo akifanya yake ni kwa support ya mlimbwende wa kitambo Bongo Salha Israel akisimama kama mlinzi wa binti wa kishua ni movie ambayo itatikisa na kuandika historia ya kipekee sana, kumbukumbu zinaonyesha kuwa Jack Wolper kila mzigo anaoshiriki unakuwa ni moto wa kuotea mbali kulingana na staili yake ya kubadilika kwa kila filamu.
Kila heri kwa Jack Wolper Salha miss 2011 na washiriki wote wanaopiga mzigo na kamanda Ray the Greatest kutoka RJ Company ni shughuli mwanzo mwisho , tutakupa nyeti kuhusu movie hili stay tune soon!